Profile PictureKIDIGITALI

Maokoto Yapo Huku

$8.50
0 ratings

Je! una zifahamu fursa zinazo weza kukuingizia kipato MTANDAONI na kufaidika nazo leo hii? Basi jibu lako lipo kwenye kitabu hichi cha "MAOKOTO YAPO HUKU".

"Fursa ni kama embe, wakati wewe unalisubiri liive lidondoke, wengine wanalifuata mtini likiwa bichi na wanalila kwa chumvi.”

Dunia yetu imebadilika sana katika miaka ya hivi karibuni, na mapinduzi ya kidijitali yamefungua milango ya ajabu na fursa za vijana wengi kujipatia kipato mtandaoni. Kitabu hichi kimelenga katika kuku fahamisha fursa unazo weza kuzifanya mtandaoni na kukuingizia kipato.

Haijalishi wewe ni nani au unatoka wapi, mtandao umeleta fursa mbali mbali kwa kila mmoja wetu kujiongezea kipato.

Katika kitabu hiki, nimeelezea siri za mafanikio yangu na vitu gani uki weza kufocus navyo vita kusaidia kupata pesa na kipato kizuri mtandaoni.

Kupitia kitabu hichi, Utajifunza jinsi ya kuanzisha biashara mbali mbali mtandaoni, kufanya kazi kwa uhuru ukiwa nyumbani kwako, kutumia mitandao ya kijamii kujenga chapa (Brand) yako, kuuza bidhaa na huduma zako mtandaoni, na mengine mengi zaidi. 

Ungana nami nikufungulie dunia na kupata maokoto kwa mbinu ambazo nina zifanya mimi kwa asilimia 100%.

Jipatie nakala yako ya "Maokoto Yapo Huku" kwa kubonyeza "BUY THIS"

Add to cart

Ndani ya eBook hii utapata kuzifahamu fursa unazo weza kuzifanya mtandaoni na kufaidika nazo leo hii. Utapata kufahamu siri za mafanikio yangu na vitu gani uki weza kufocus navyo vita kusaidia kupata pesa na kipato kizuri mtandaoni.

Pages
69
Size
986 KB
Length
69 pages
Copy product URL
$8.50

Maokoto Yapo Huku

0 ratings
Add to cart